MR. JACKSON MMBANDO KUTOKA AIRTEL AKIFAFANUA MAMBO MUHIMU KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU JINSI WAO WALIVYOYADHAMINI MASHINDANO YA MPINGA CUP, MAZUNGUMZO HAYO YALIFANYIKA WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU YAANI MPINGA CUP, MASHINDANO YATAKAYO ANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA YAMEFANYIKA LEO TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFIKI MAKAO MAKUU DAR ES SALAA.
November 01, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment