Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Mwantumu Mahiza akisalimiana na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya
Bagamoyo ,Mastidia Rutaihwa baada ya
kumkabidhi moja ya boksi la dawa na vifa vilivyotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakati wa Uzinduzi rasmi wa Huduma za Tiba kutoka kwa Madaktari Bingwa
kwa wanachama wa NHIF katika jamii ya Mkoa
wa Pwani uzinduzi huo ulizihusisha wilaya zote tata za Rufiji, Mafia na Bagamoyo.Katikati anaye shuhudia ni Mjumbe
wa Bodi ya NHIF Charles Kajege.

Mkuu wa mkoa wa pwani Mwantumu Mahiza akiongea na baadhi
ya wananchi wa Wilaya ya Bagamoyo waliofika kupata huduma ya matibabu wakati wa Uzinduzi wa zoezi la kutoa huduma
za Tiba kutoka kwa Madaktari Bingwa kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF) na Jamii mkoa wa pwani .kulia
ni mjumbe wa NHIF Charles Kajege.
Mjumbe wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Charles
Kajege akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza moja ya boksi lenye
vifaa na Dawa wakati wa Uzinduzi rasmi
wa zoezi la Huduma za Tiba kutoka kwa Madaktari Bingwa wa
NHIF, kwa wanachama wa mfuko huo na jamii ya Mkoa wa Pwani .Uzinduzi huo
ulifanyika katikaWilaya ya Bagamoyo kwa
niaba ya wilaya za Mafia na Rufiji.
Kaimu
Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na
Mkurugenzi Rasilimali watu na Utawala Beatus Chijumba akielezea huduma
zinazotolewa na NHIF wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Kutoa Huduma za Tiba kutoka
kwa Madaktari Bingwa kwa Wanachama wa
mfuko huo Mkoa wa Pwani. Kutoka kulia ni mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza
, Mjumbe wa Bodi Charles Kajege na kulia ni Meneja Mkuu wa NHIF mkoa wa Pwani, Andrew Mwilunga,
0 comments:
Post a Comment