Nafasi Ya Matangazo

September 12, 2013

Mkurugenzi  Mtendaji  wa Taasisi ya isiyo ya kiserikali inayoshughulikia masuala ya haki  za kisheria ,maendeleo ya jamii na kiuchumi(DOLASED)Gidion Mandesi(katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu haki mradi  wa haki za walemavu katika ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO leo.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa MAELEZO,Vincent Tiganya na kulia ni Afisa Mipango wa DOLASED Risala  Msemo.

Posted by MROKI On Thursday, September 12, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo