Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akikagua gwaride katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli,
Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ leo Julai 13.
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimpa zawadi Ofisa Kadet Ngodoke kwa kuibuka mwanafunzi bora wa jumla
mwaka huu katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha,
kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ leo Julai 13. Jumla ya
wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na kuwa
Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa vya
Shelisheli.
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimpa zawadi Ofisa Kadet D.G.L. Wong- Pool toka Visiwa vya Ushelisheli
kwa kuibuka mwanafunzi bora wa kigeni wa jumla mwaka huu katika Chuo Cha
Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni
kwa Maafisa wa JWTZ leo Julai 13. Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo
wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu
wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa vya Shelisheli.
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akitunuku kamisheni kwa maafisa katika Chuo cha Cha Mafunzo ya Kijeshi
(TMA) Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ
leo Julai 13. Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa
kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda
na Visiwa vya Shelisheli.
Meza
kuu wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ leo
Julai 13. Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa
kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda
na Visiwa vya Shelisheli.
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiongea na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis
Mwamunyange baada ya sherehe za kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ
leo Julai 13. Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa
kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda
na Visiwa vya Shelisheli.PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment