Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana juu ya mpango wa Umeme kwa wote uliozinduliwa na Rais wa Marekani Barack Obama wakati wa ziara yake nchini. Mkono ambaye ji Mwanasheria amesema kuwa mpango huo utawezekana kwa mijini pekee na si vijijini ambako wananchi wengi hawana makazi bora ya kuweza kuingiza umeme huo huku gharama ikiwa ni kubwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment