Mkurugenzi wa Shirika la
hifadhi za taifa TANAPA Allan Kijazi akijibu baadhi ya maswali kutoka
kwa washiriki wa mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari na TANAPA
unaofanyika kwenye ukumbi wa Siasa na Kilimo mjini Iringa ikiwa ni siku
ya pili ya mkutano huo, Maada mbalimbali zinawasilishwa leo ikiwa ni
pamoja na Masuala ya Utalii ndani ya hifadhi, Miradi ya ujirani mwema na
Ulinzi katika mbuga. Waziri Kivuli wa Wizara ya Maliasili na Mubnge wa jimbo la Iringa mjini Mchunagji Peter Msigwa akitoa mada katika mkutano huo wakati wa majadiliano kuhusu utalii katika hifadhi za TANAPA kulia ni Mkurugenzi wa Tanapa na Kushoto ni Dr. Ayoub Rioba na mstari wa nyuma kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi Mzingira na Maliasili Ndugu James Lembeli na kushoto ni Meneja uhusiano wa TANAPA Bw. Pascal Shelutete.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi Mzingira na Maliasili Ndugu James Lembeli akizungumza katika mkutano huo unaoendelea mjini Iringa leo Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi Mzingira na Maliasili Ndugu James Lembeli akisisitiza jambo wakati akichangia mada katika mkutano huo unaoendelea leo. Mhariri wa gazeti la Tanzania Daima Ndugu Charles Misango akiuliza swali katika mkutano huo Dr. Ayoub Rioba akiendesha majadiliano katika mkutano huo Mwandishi wa habari Antonio Nugas kutoka Radio Clouds kushoto akiwa pamoja na washiriki wengine katika mkutano huo. Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia mada mbalimbali za mkutano huo. Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia mada mbalimbali za mkutano huo. Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia mada mbalimbali za mkutano huo. Picha na Fullshangwe Blog.
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA
23 minutes ago
0 comments:
Post a Comment