Meneja Mauzo na USAMBAZAJI WA kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Calabash iliyoko Mwenge, JUMA Kihoma, kifaa cha kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, ilifanyika leo. Katika Wilaya ya Ilala waligawa vifaa 50.
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Mama Kamche's iliyoko Mwenge, Patrick Mrema, kifaa cha kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, ilifanyika. Katika Wilaya ya Ilala waligawa vifaa 50.
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Etina iliyoko Mwenge,Egbert Mtunza, kifaa cha kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, ilifanyika. Katika Wilaya ya Ilala waligawa vifaa
Mchuruza akielezea mbele ya wanahabari umuhimu wa vifaa hivyo
Mchuruza akionesha moja ya vifaa hivyo
0 comments:
Post a Comment