Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa
na Mpanda wakimsindikiza kuapanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho
Tanzania Khadija Omar Kopa kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kupewa
taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo
alfajiri, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye
Maadhimnisho ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere
Mkoani Rukwa jana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment