NDUGU
WASOMAJI WA BLOGU HII MTANIWIA RADHI KWA KUTORIPOTI TUKIO LA VURUGU NA UHALIFU
UNAOENDELEA MKOANI MTWARA . BLOGU HII KUONESHA KULAANI VITENDIO HIVYO VYA
KINYAMA KWA WANANCHI WASIO NA HATIA, HAITA RIPOTI TUKIO HILO
KWANI KUFANYA HIVYO NI KUUNGA MKONO UNYAMA HUO WANAOFANYIWA WANANCHI WASIO NA
HATIA NA KULETA MATESO KWA AKINA MAMA NA WATOTO PAMOJA NA WAZEE.
FK
BLOG INAUNGANA NA WAPENDA AMANI WOTE WA TANZANIA KATIKA KULAANI MAUAJI NA
VITENDO VYA KIKATILI NA UHARIBUFU WA MALI ZA RAIA NA UMMA.
YANINI
KUGOMBEA MAZIWA AMBAYO HATA NG’OMBE MWENYEWE HATUJA MNUNUA?
UTAWALA FATHER
KIDEVU BLOG.
0 comments:
Post a Comment