Nafasi Ya Matangazo

May 28, 2013

Jana usiku tumeona nusu fainali ya kwanza ya GUINNESS® FOOTBALL CHALLEGE™ ambapo timu ya Ghana walionesha kuwa wao ni timu bora baada ya kushinda na kuwa timu iliyoshinda kiasi kikubwa zaidi cha pesa.

Jonathan Nabb and Desmond Odaano showed that they have the confidence to live bold sensationally knocking out their rivals and going on to hit target four on the GUINNESS Money Wall taking their winnings from the episode to over $12,000 to add to their $8,500 from previous rounds.

Jonathan Nabb na Desmond Odaano walionesha kuwa wana uwezo na ni majasiri walipowashinda adui zao na mwisho kushinda hadi $12,000 USD baada ya kulenga lengo namba nne katika hatua ya pesa ukutani.

Going home, but not empty handed with their $ 5,500 USD winnings from their National episodes and Quarter Finals were Daniel Msekwa and Mwalimu Akida Hamad from Dar Es Salaam.  The pressure will now be on the final two teams from Kenya in the next Semi-Final as they will be flying the flag for the whole of East Africa. 


Watakaorudi nyumbani ni Daniel Msekwa na Mwalimu Akida Hamad kutoka Dar-es-Salaam wakiwa na $5,500 USD walizojipatia katika hatua za kitaifa.Sasa kazi itakuwa kwa timu mbili za Kenya katika nusu fainalli ijayo watakapokuwa wakiiwakilisha Afrika mashariki.

Winners, Jonathan and Desmond, were also awarded $4,000 in recognition of the amazing effort they put in through the first two rounds, which saw a completely flawless performance.  They showed how to live bold, not faltering on any question or missing any opportunity with the ball.  They have now secured a spot on the first Pan-African Final and are in with a chance of raising their country’s flag as champions.  

Washindi,Jonathan na Desmond,walizawadiwa pia $4,000 USD baada ya kuonesha mchezo mzuri sana katika mizunguko miwili ya mwanzo ya mchezo ambapo hawakukosa hata swali moja.Sasa wamefanikiwa kujihakikishia nafasi katika fainali ya Pan-african na hata kuwa washindi wa mashindano hayo.

Joining Jonathan and Desmond in the final will be the show’s runners-up Francis Ngigi and Kepha Kimani from Nairobi who narrowly missed out on the GUINNESS Money Wall but will still have a chance of becoming champions.  Their fellow countrymen Kenneth Kamau and Willis Ogutu didn’t make it to the final stages of the episode and will be leaving the pride of East Africa in Francis’ and Kepha’s hands. 

Watakaowaunga washindi ni Francis Ngigi na Kepha Kimani kutoka Nairobi  waliokuwa washindi wa pili.Japokuwa hawakufanikiwa kufikia hatua ya pesa ujutani lakini wamefuzu fainali.Wenzao kutika Kenya Kenneth Kumau na Wills Ogutu hawakufanikiwa kufuzu hivyo Francis na Kepha ndio watakaowakilisha Afrika mashariki.  

Guinness Brand Manager, Davis Kambi from Serengeti Breweries said: “Everyone at GUINNESS and the whole of Tanzania are extremely proud of Daniel and Mwalimu – even though they didn’t make it through they won a great amount of money and really showed that they have what it takes to be real players in life.  All of our footballing pairs did incredibly well to get to our first ever Semi-Final and congratulations to Jonathan and Desmond from Ghana!  We are now looking forward to the next Semi-Final and cheering on the Kenyan teams who will be playing for East Africa!”

Mkurugenzi wa GUINNESS alisema,”Sote Tanzania tunawapongeza Daniel na Mwalimu-japokuwa hawakufanikiwa kufuzu fainali lakini wamejishindia kiasi kikubwa cha pesa.Kila timu ilijitahidi kufikia nusu fainali na hongera kwa Desmond na Jonathan kutoka Ghana kwa ushindi wao.Sasa tunasubiri nusu fainali ijayo kila la heri kwa wote pamoja na timu za Kenya zitakazowakilisha Afrika mashariki.

Vying for their chance in the Finals in the second Semi-Final are the following football fanatics:



EAST AFRICA
·         IN BLACK - Ephantus Nyambura, 24, and Samuel Papa, 23, from Nairobi will be hoping to do better than the $3,000 they won in their National and Quarter Final episodes.  Ephantus will be the Brain of the pair whilst Samuel, who plays football for Nakuru Allstars FC, will take on the skills round

·         JEZI NYEUSI – Ephatus Nyambura,24 na Samuel Papa,23 kutoka Nairobi watatarajia kushinda zaidi ya $3,000 USD walizopata katika hatua za kitaifa na robo fainali.Ephatus atajibu maswali wakati Samuel anayechezea Nakuru Allstars atakuwa mchezaji.

·         IN RED - Kenneth Mukuri , 26, and Chris Mwamgi, 19, are from Nairobi.   They will be hoping to go all the way after struggling to win more than $1,500 on the GUINNESS Money Wall in their National episode.  Kenneth will be the teams Brain while Chris will be the Brawn. 
·         JEZI NYEKUNDU – Kenneth Mukuri,26 na Chris Mwamgi,19 kutoka Nairobi watakuwa wakitarajia kushinda zaidi ya $1,500 USD walizopata katika hatua za kitaifa.Kenneth atakuwa kichwa cha timu wakati Chris atakuwa mchezaji.

CAMEROUN:
·         IN GREEN - Emerand Tchouta, 24 and Abdul Salam, 25 have a total prize fund of $6,500 after hitting target 4 on the GUINNESS Money Wall in their Quarter-Final.  Brain Emerand and Brawn Abdul will now be hoping to captalise on their winnings and make it all the way to the final
·         JEZI ZA KIJANI – Emerald Tchouta,24 na Abdul Sam,25 ambao wana jumla ya $6,500 baada ya kulenga lengo namba nne katika robbo fainali.Sasa Emerald na Abdul watacheza kuwania nafasi ya kufuzu fainali.

GHANA:
·         IN BLUE - Emmanuel Kofi Okarku, 27 and Isaac Aryee, 25 from Accra in Ghana will be playing for their West African nation as they hope to win the episode and become Pan-African champions.  They already have $3,000 USD and pro footballer Isaac will need to once again put his skills to good use while Emmanuel tackles the knowledge questions 

·         JEZI ZA BLU – Emanuel Kofi Okarku,27 na Isaac Aryee,25 kutoka Accra Ghana wataichezea nchi yao kutoka Afrika magharibi ili kufuzu fainali.Tayari wana $3,000 USD hivyo Isaac atahitajika kuonesha kipaji chake cha kucheza wakati Emanuel atajibu maswali.

Fans of the show can test their own football knowledge via the GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE mobile phone game which is available on the exciting GUINNESS mobile social community for football lovers, GUINNESS® VIP™.   Sign up for free and test your knowledge to see where you stand on the all new Pan-African leader board at m.guinnessvip.com on your phone.  

Mashabiki wa mashindano haya wanaweza kupima maarifa yao kupitia mchezo wa simu za mkononi wa GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE unaopatikana katika simu za kijamii za GUINNESS kwa ajili ya wapenzi wa mpira wa miguu, GUINNESS® VIP™. Jiunge bure sasa upime maarifa yako katika michezo,tembelea m.guinnessvip.com sasa.

Make sure to like to GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE Facebook page for all the latest details – www.facebook.com/[insert]

The second Semi-Final, produced by Endemol, is broadcast on ITV every Wednesday at 21:15hours, so make sure you grab a bottle of ice cold GUINNESS and get behind East Africa.
Nusu fainali ya pili ya mashindano haya itaoneshwa ITV jumatano saa 3:15 usiku, usiikose huku ukiburudika na Guinness.
Please drink responsibly – strictly 18+.
Tafadhali kunywa kistaarabu-kwa wenye miaka 18 na kuendelea tu.
Posted by MROKI On Tuesday, May 28, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo