Nafasi Ya Matangazo

March 17, 2013

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa akiwakabidhi vyeti na hundi ya dolla 200 moja ya washindi wa medani ya fedha Sharon Hamis (wakwanza kushoto) na Fatma Jeddah (wapili kutoka kushoto) kutoka shule ya wasichana ya Feza.
 Washindi wengine wakikabidhiwa vyeti, Medali zao pamoja na Hundi baada ya kushinda.
 Baadhi ya washiriki kutoka shule mbalimbali za ndani na nje ya Tanzania wakiwa katika sherehe hizo ya kukabidhi zawadi kwa washindi.

WAziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa akijadili jambo na mkurugenzi wa shule za Feza Tanzania Ibrahim Bicakui katika hafla ya kutoa tuzo kwa washindi wa shindano la "Infomatrix Africa" lililoshikisha nchi 17 kutoka bara la Afrika
Washiriki wa Infotrix Africa walioiwakilisha vizuri Tanzania katika mashindano hayo yaliyomalizika wikendi hii.
 Wanafunzi kutoka shule mbalimbali zilizoshiriki mashindano hayo.
Mgeni Rasmi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine na washindi wa mashindano hayo.
Posted by MROKI On Sunday, March 17, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo