Mmoja wa wageni waliohudhuria
sherehe hiyo akisubiri kwa hamu glasi yenye kinywaji cha Johnnie Walker kutoka
kwa mmoja wa mabalozi wa kinywaji hicho kutoka Kampuni ya bia ya Serengeti
(SBL)
Baadhi ya wageni waliohudhuria
“Pre Valentine Mask Party” wakipata maelekezo kutoka kwa mabalozi wa kinywaji
cha Johnnie Walker kutoka Kampuni ya bia ya Serengeti iliyofanyika Golden Tulip
jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni
ya bia ya Serengeti Steve Gannon akifurahia kinywaji cha Johnnie Walker
akiwa pamoja na mmoja wa mabalozi wa kinywaji hicho.
Mkurugenzi
mtendaji wa Kampuni ya bia ya Serengeti Steve Gannon akijadili jambo kuhusu
kinywaji cha Johnnie Walker na mabalozi wa kinyaji hicho katika “Pre Valentine
Mask Party” iliyofanyika Golden Tulip ambapo kampuni hiyo ilidhamini hafla hiyo
kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker.
0 comments:
Post a Comment