Baada ya kupita Boa Boa ya vibanda mbalimbali
vya Biashara vilivyokuwa vimetapakaa na kujaza sehemu kubwa ya Stand Kuu ya
Mabasi Ubungo (UBT) hali hivi sasa ndio kama inavyoonekana pichani.
Wafanya biashara wa maji, Juicena Vitu
mbalimbali bado wapo na hivi sasa ni kwa staili ya Myavuli huku wakiwa
wamepanga bidahaa zao katika vimeza na mbao.
Aidha bomoa boamoa hiyo pia imeathiria abiria
ambao baadhi walikuwa wakitumia vibanda hivyo vya wafanya biashara kujisitiri
kwa Juan a mvua wakati ama wakisubiri usafiri au kusubiri wageni wao kutoka
mikoani.
Father Kidevu Blog, imetembelea kituo hicho na
kujionea hali halisi kama inavyoonekana katika picha hizi.
Hii ndio hali halisi ya Kituo cha Mabasi yaendayo Mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam kilivyo kwa sasa.
0 comments:
Post a Comment