Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakichangayika na wanakijiji
wenzao wa kijijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani, kuukaribisha
mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za utamaduni
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
mkewe Mama Salma Kikwete wakichangayika na wanakijiji wenzao wa kijiji cha
Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani, wakati wa kuukaribisha mwaka mpya kwa
fashifashi na ngoma za utamaduni
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimtambulisha kaka yake Mzee Selemani Kikwete kwa wanakijiji wenzake wa kijiji
cha Msoga, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani, wakati wa sherehe za kuukaribisha
mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za utamaduni
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakipeana mkono wa heri na
wanakijiji wenzao wa kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, wakati
wa kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za kienyeji
Wanakiji
wa Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani wakiangalia fashifashi wakati wa
sherehe za kuukaribisha mwaka mpya kijijini hapo
0 comments:
Post a Comment