Balozi wa Canada nchini, Mheshimiwa Alexandre Leveque
akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, Mheshimiwa Profesa Sospeter Muhongo
alipomtembelea wizarani leo. Serikali ya Canada imeonyesha nia ya kuwekeza
katika sekta ya umeme.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment