Nafasi Ya Matangazo

December 07, 2012

Jiji la Dar es Salaam linazidi kukua kwa kiasi kikubwa hasa upande wa majengo ya kisasa. Pichani ni Kanisa jipya la KKKT Usharika wa Ubungo, ambalo linaendelea kujengwa, napindi litakapo malizika litakuwa ni la kuvutia zaidi, kutokana na muonekane wa paa lake la kisasa.




Posted by MROKI On Friday, December 07, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo