Jaji wa mahakama kuu ya Tanzani, Sivangilwa
Mwanges (kushoto)akikata utepe kuzindua kitabu cha utafiti kuhusu jinsia na
mifano bora katika masuala ya uundwaji wa katiba ya 2012 tafiti kutoka nchi za
Ghana, Kenya ,Rwanda,na Afrika ya kusini.mara baada ya kufungua mkutano huo wa
siku mbili (kulia)mwenyekiti wa jukwaa la jinsia , Magdalena Rwebaugira.
Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania, Sivangilwa
Mwangesi (kulia) akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa mkutano wa utafiti kuhusu
jinsia na mifano bora katika masuala ya uundwaji wa katiba ya 2012 tafiti
kutoka nchi za Ghana, Kenya ,Rwanda,na Afrika ya kusini mkutano huo wa siku
mbili unaofanyika kwenye ukumbi wa karimjee jijini Dar es saalaam
ulioshirikisha makamishna wa tume ya katiba,na wajumbe kutoka nje ya nchi
ulioandaliwa na chama cha wanasheria wanawake Tanzania (TWLA) kushoto
mwenyekiti wa jukwaa la jinsia (GFC) ,Magdalena Rwebaugira.
Baadhi ya wanachama wa jukwaa la jinsia
na katiba wakiwa katika mkutano wa uzinduzi wa utafiti kuhusu jinsia na mifano
bora katika masuala ya uundwaji wa katiba ya 2012
Baadhi ya wanasheria wakimsikiliza kwa
umakini Mwenyekiti wa jukwaa la jinsia (GFC) (watatu kulia), Magdalena
Rwebaugira mara baada ya kuharishwa kwa mkutano huo wa utafiti kuhusu jinsia na
mifano bora katika masuala ya uundwaji wa katiba ya 2012.
Mjumbe wa tume ya kuregebisha Sheria, Maria Kashoda akichangia mada kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania,
Deus Kibamba akichangia mada kwenye mkutano huo
0 comments:
Post a Comment