Baada
ya ushiriki wa siku mbili mfululizo kwenye mkutano huo, Meneja Uhusiano
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF ambaye pia ndio mratibu wa mkutano wa 22 wa
wanachama na wadau wa mfuko huo, Lulu Mengele, (Katikati), akipiga
picha ya pamoja na wafanyakazi wenzake, kwenye tafrija hiyo
iliyoandaliwa na NBC.
Afisa wa Mfuko wa Pensheni nwa PPF, Mkoani Arusha, (Kulia),
akipoz kwa picha na mwandishi habari wa Channel Ten mkoani humo, Jamila Omar,
wakati wa cocktail party iliyoandaliwa na benki ya NBC kwa ajili ya wajumbe
wanaohudhuria mkutano wa 22 wa wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wan PPF
Alhamisi usiku Oktoba 11, 2012, kwenye hoteli ya Kibo Palace jijini humo.
Mkutano bhuo wa siku tatu uliowaleta pamoja zaidi ya wajumbe 700 kutoka ndani
na nje ya nchi, utakamilika Ijumaa Oktoba 12, 2012
Marubani
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, kutoka kushoto kwenda kulia, Heladius
Kiyango, Weston Kipangula, Charles Tawete, Thomas Salu, Frank Mapunda na
John Methew, nao walikuwepo
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe Jumapili, Flora Wingia,
(Kulia), Jane Mihanji, (Wapili kulia), wakiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu
mstaafu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, David Mattaka
Lulu (Kulia) na wafanyakazi wenzake wa PPF
Mkurugenzi
Mkuu wa NSSF, Dkt. Ramadhan Dau, (Wapili kulia), akiwa na viongozi wa
Jukwaa la Wahariri, Mwenyekiti, Absalom Kibanda, (Kulia), Katibu wake,
Nivile Meena na mgeni mwingine mwalikwa
Wafanyakazi wa PPF na wageni wengine waalikwa wakiwa katika poz
Mshereheshaji
mashuhuri nchini, Mzee Mavunde, (Kushoto), akijiunga kwenye bpoicha na
wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, katika picha hii ya kumbukumbu
0 comments:
Post a Comment