Mkurugenzi mkuu wa mawasiliano Beatrice Singano akiongea na waandishi wa habari ( hawapo pichani) wakati wa hafla maalum ya Mradi na droo ya kugawa Vitabu kwa shule za sekondari ijulikanoyo kama ' AIRTEL SHULEYETU' iliyofanyika katika ofisi za Airtel na kupata shule 93 za sekondari zitakazofaidika na mradi huo. Kulia anaefuatilia ni Meneja huduma kwa jamii wa Airtel Bi, Hawa Bayumi na Afisa Mkuu Mwandamizi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bw Masozi Nyirenda (shoto). Mwaka huu vitabu tunavyogawa vinakadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi milioni 110
******
Airtel Tanzania, leo imeendeleza dhamira yake katika kuboresha elimu kwa kuchezesha droo iliyochagua shule za sekondari 93 zitakazo faidika na mradi wa vitabu wa Airtel wa kusaidia jamiiunaojulikana kama Airte shule yetu kwa mwaka 2012 -2013.
Akiongea katika mkutano na vyombo vya Habari Mkurugenzi wa Airtel Kitengo cha Mawasiliano Bi, Beatrice Singano Mallya alisema "Mwaka huu, Airtel tunaendelea na dhamira yetu ya kusaidia elimu kwa kuzipatia vitabu shule za sekondari 93, Mradi huu utafaidisha shule 3 kutoka katika kila mkoa Tanzania bara na visiwani.
Shule 93 zilizo chaguliwa leo ni matokeo ya droo iliyochezeshwa na kuzichagua shule hizo kutoka shule 3,000 zilizopendekezwa na Wizara ya Elimu Tanzania kuwa ni shule ambazo zina uhitaji mkubwa wa vitabu na kushauri ziingie katika mpango wa kusaidia jamii wa Airtel shule yetu.
"Toka tulivyooanza mradi huu wa Vitabu miaka saba iliyopita tumeweza kuzifikia zaidi ya shule 1000 za sekondari zilizopo Tanzania bara na visiwani kwa kutoa msaada sawa kwa mikoa yote na kuwafikia wanafunzi katika kila kona ya Tanzania.
Mwaka huu vitabu tunavyogawa vinakadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi milioni 110, hivyo kila shule iliyopatikana kwenye droo hii watapata Vitabu alisema Mallya.
Bi Mallya aliongeza kwa kusema "tumefanya kazi kwa pamoja na Mamlaka ya elimu na Wizara ya Elimu Tanzania kwa kuhakikisha kwamba mahitaji ya vitabu kwa shule zote zitakazoingia kwenye Mradi huu wa Shule yetu tunayatimiza kwa kuwapatia vitabu vya mitaala ya masomo yao kama ilivyopendekezwa na Wizara"
"Airtel Tanzania imekuwa mstari wa mbele kwa kutoa misaada mbalimbali ili kuisaidia jamii hapa Tanzania hasa kwa kuchangia sekta ya elimu kwa kuwapatia vitendea kazi vikiwemo Vitabu kwa wanafunzi wa shule za sekondari.
"Airtel Tanzania imekuwa mstari wa mbele kwa kutoa misaada mbalimbali ili kuisaidia jamii hapa Tanzania hasa kwa kuchangia sekta ya elimu kwa kuwapatia vitendea kazi vikiwemo Vitabu kwa wanafunzi wa shule za sekondari.
Mwaka jana pia Airtel ilisaidia Vitabu vyenye thamani ya zaidi ya milioni 104 tsh kwa shule za sekondari kwa kupitia droo iliyohusisha jumla ya shule 502" alisema Bi, Mallya.
Nae Afisa Mkuu Mwandamizi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bw Masozi Nyirenda aliongea kwa Niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Ulimu (TEA) alisema "Mamlaka ya Elimu Tanzania tunawashukuru sana.
Ulimu (TEA) alisema "Mamlaka ya Elimu Tanzania tunawashukuru sana.
Airtel kwa dhamira yenu ya kusaidia jamii kwa kuinua kiwango cha elimu hapa nchini " Mradi wa Airtel Shule Yetu ni mradi mzuri sana kwa jamii
yetu kwa kuinua kiwango cha elimu na maisha ya watanzania"
Tunaamini elimu ndio ufunguo wa maisha hivyo watanzania wote pamoja na waalimu mtakaopokea vitabu hivi vya mradi wa Airtel Shule yetu tuvitunze na kuvitumia vizuri ili kuunga mkono jitihada za Airtel
katika kusaidia kuinua kiwango cha elimu hapa nchini" aliongeza kwa kusema Bw, Nyirenda.
katika kusaidia kuinua kiwango cha elimu hapa nchini" aliongeza kwa kusema Bw, Nyirenda.
Mbali na shule 93 za sekondari zitakazofaidika na mradi huu wa vitabu mwaka huu, pia Airtel Tanzania imeshamaliza kukarabati shule ya msingi ya Kiromo iliyopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kando kando na barabara ya Bagamoyo ilichaguliwa mwaka jana 2011 huku mipango mingine ya mwaka huu ikiendelea ili kupata shule nyingine itakayofaidika kwa kujengwa na kukarabatiwa na Airtel shule Yetu.
Airtel bado itaendelea kushirikiana wizara ya elimu kwa wadau wengine kuweza kushiriki katika kuinua kiwango cha elimu hapa Tanzania.
SCHOOL STATUS DISTRICT REGION Year Selected
Karatu+ Govt. Karatu Arusha 2012
Loliondo Com Ngorongoro Arusha 2012
Kiranyi Com Arusha (V) Arusha 2012
Kitomondo Com Mafia Pwani 2012
Visiga Com Kibaha (M) Pwani 2012
Changalikwa Com Bagamoyo Pwani 2012
Bihawana Govt. Dodoma (V) Dodoma 2012
Kibakwe Com Mpwapwa Dodoma 2012
Pandambili Com Kongwa Dodoma 2012
Al-Haramain Sem. Com Ilala Dar-es-Salaam 2012
Anita's Greenland Com Ilala Dar-es-Salaam 2012
Archbishop John sepeku Com Ilala Dar-es-Salaam 2012
Whitelake Com Kinondoni Dar-es-Salaam 2012
Mwambao Com Kinondoni Dar-es-Salaam 2012
Misitu Govt. Kinondoni Dar-es-Salaam 2012
Yemen Com Temeke Dar-es-Salaam 2012
Hondogo B Com Temeke Dar-es-Salaam 2012
Yeshua Com Temeke Dar-es-Salaam 2012
Itandula Com Mufindi Iringa 2012
Furahia (Nee Mnyimau) Com Iringa (W) Iringa 2012
Ukwega Com Kilolo Iringa 2012
Kanyeranyere Com Muleba Kagera 2012
Kirushya Com Ngara Kagera 2012
Nyamigogo Com Biharamulo Kagera 2012
Kumgogo Com Kibondo Kigoma 2012
Sanuka Com Kigoma (V) Kigoma 2012
Kidahwe Com Kigoma Kigoma 2012
Keni Com Rombo Kilimanjaro 2012
Tumo Com Hai Kilimanjaro 2012
Oria Com Moshi (V) Kilimanjaro 2012
Liondo Com Nachingwea Lindi 2012
Namangale Com Lindi (V) Lindi 2012
Kiangara Com Liwale Lindi 2012
Chief Dodo Com Babati Manyara 2012
Ndendo Com Kiteto Manyara 2012
Emboreet Com Simanjiro Manyara 2012
Kukirango Com Musoma (V) Mara 2012
Songe Com Musoma (M) Mara 2012
Kurumwa Com Tarime Mara 2012
Mbarali Com Mbarali Mbeya 2012
Msankwi Com Mbozi Mbeya 2012
Imalilo Songwe Com Mbarali Mbeya 2012
Matundu Hill (nee Idete) Com Kilombero Morogoro 2012
Malinyi Com Ulanga Morogoro 2012
Tushikamane Com Morogoro (M) Morogoro 2012
Lukuledi Com Masasi Mtwara 2012
Nanjota Com Masasi Mtwara 2012
Namatutwe Com Masasi Mtwara 2012
Kalebezo Com Sengerema Mwanza 2012
Bugongwa Com Mwanza (J) Mwanza 2012
Kabuhoro Com Mwanza (J) Mwanza 2012
Kabungu Com Mpanda Rukwa 2012
Katazi Com S'wanga (V) Rukwa 2012
Korongwe Beach Com Nkasi Rukwa 2012
Nalima Com Songea (V) Ruvuma 2012
Gumbiro Com Namtumbo Ruvuma 2012
Luna Com Namtumbo Ruvuma 2012
Kiloleni Com Kishapu Shinyanga 2012
Kisuke Com Kahama Shinyanga 2012
Ndala Com Shinyanga (M) Shinyanga 2012
Kimadoi Com Iramba Singida 2012
Mitunduruni Com Singida (M) Singida 2012
Mikiwu Com Singida (V) Singida 2012
Bukoko Com Igunga Tabora 2012
Nkiniziwa Com Nzega Tabora 2012
Fundikila Com Tabora (M) Tabora 2012
Magila Com Muheza Tanga 2012
Kwemdimu Com Korogwe Tanga 2012
Mkuzi Com Lushoto Tanga 2012
Kasamwa Com Geita Geita 2012
Nkome Com Geita Geita 2012
Bugalama Com Geita Geita 2012
Yakobi Com Njombe Njombe 2012
Mount Chafukwe Com Makete Njombe 2012
Ikuwo Com Makete Njombe 2012
Somanda Com Bariadi Simiyu 2012
Old Maswa Com Bariadi Simiyu 2012
Mwandete Com Maswa Simiyu 2012
Dodeani Govt. Pemba South 2012
Kengeja Govt. Pemba South 2012
Kisiwapanza Govt. Pemba South 2012
Wesha Govt. Pemba North 2012
Mizingani Govt. Pemba North 2012
Makombeni Govt. Pemba North 2012
Kidongochekundu Govt. Unguja Central South 2012
Mpapa Govt. Unguja Central South 2012
Ndijani Govt. Unguja Central South 2012
Mahonda Govt. Unguja North 2012
High View Govt. Unguja North 2012
Mfenesini Govt. Unguja North 2012
Fujoni Govt. Unguja Urban West 2012
Kitope Govt. Unguja Urban West 2012
Matemwe Govt. Unguja Urban West 2012
Kitomondo Com Mafia Pwani 2012
Visiga Com Kibaha (M) Pwani 2012
Changalikwa Com Bagamoyo Pwani 2012
Bihawana Govt. Dodoma (V) Dodoma 2012
Kibakwe Com Mpwapwa Dodoma 2012
Pandambili Com Kongwa Dodoma 2012
Al-Haramain Sem. Com Ilala Dar-es-Salaam 2012
Anita's Greenland Com Ilala Dar-es-Salaam 2012
Archbishop John sepeku Com Ilala Dar-es-Salaam 2012
Whitelake Com Kinondoni Dar-es-Salaam 2012
Mwambao Com Kinondoni Dar-es-Salaam 2012
Misitu Govt. Kinondoni Dar-es-Salaam 2012
Yemen Com Temeke Dar-es-Salaam 2012
Hondogo B Com Temeke Dar-es-Salaam 2012
Yeshua Com Temeke Dar-es-Salaam 2012
Itandula Com Mufindi Iringa 2012
Furahia (Nee Mnyimau) Com Iringa (W) Iringa 2012
Ukwega Com Kilolo Iringa 2012
Kanyeranyere Com Muleba Kagera 2012
Kirushya Com Ngara Kagera 2012
Nyamigogo Com Biharamulo Kagera 2012
Kumgogo Com Kibondo Kigoma 2012
Sanuka Com Kigoma (V) Kigoma 2012
Kidahwe Com Kigoma Kigoma 2012
Keni Com Rombo Kilimanjaro 2012
Tumo Com Hai Kilimanjaro 2012
Oria Com Moshi (V) Kilimanjaro 2012
Liondo Com Nachingwea Lindi 2012
Namangale Com Lindi (V) Lindi 2012
Kiangara Com Liwale Lindi 2012
Chief Dodo Com Babati Manyara 2012
Ndendo Com Kiteto Manyara 2012
Emboreet Com Simanjiro Manyara 2012
Kukirango Com Musoma (V) Mara 2012
Songe Com Musoma (M) Mara 2012
Kurumwa Com Tarime Mara 2012
Mbarali Com Mbarali Mbeya 2012
Msankwi Com Mbozi Mbeya 2012
Imalilo Songwe Com Mbarali Mbeya 2012
Matundu Hill (nee Idete) Com Kilombero Morogoro 2012
Malinyi Com Ulanga Morogoro 2012
Tushikamane Com Morogoro (M) Morogoro 2012
Lukuledi Com Masasi Mtwara 2012
Nanjota Com Masasi Mtwara 2012
Namatutwe Com Masasi Mtwara 2012
Kalebezo Com Sengerema Mwanza 2012
Bugongwa Com Mwanza (J) Mwanza 2012
Kabuhoro Com Mwanza (J) Mwanza 2012
Kabungu Com Mpanda Rukwa 2012
Katazi Com S'wanga (V) Rukwa 2012
Korongwe Beach Com Nkasi Rukwa 2012
Nalima Com Songea (V) Ruvuma 2012
Gumbiro Com Namtumbo Ruvuma 2012
Luna Com Namtumbo Ruvuma 2012
Kiloleni Com Kishapu Shinyanga 2012
Kisuke Com Kahama Shinyanga 2012
Ndala Com Shinyanga (M) Shinyanga 2012
Kimadoi Com Iramba Singida 2012
Mitunduruni Com Singida (M) Singida 2012
Mikiwu Com Singida (V) Singida 2012
Bukoko Com Igunga Tabora 2012
Nkiniziwa Com Nzega Tabora 2012
Fundikila Com Tabora (M) Tabora 2012
Magila Com Muheza Tanga 2012
Kwemdimu Com Korogwe Tanga 2012
Mkuzi Com Lushoto Tanga 2012
Kasamwa Com Geita Geita 2012
Nkome Com Geita Geita 2012
Bugalama Com Geita Geita 2012
Yakobi Com Njombe Njombe 2012
Mount Chafukwe Com Makete Njombe 2012
Ikuwo Com Makete Njombe 2012
Somanda Com Bariadi Simiyu 2012
Old Maswa Com Bariadi Simiyu 2012
Mwandete Com Maswa Simiyu 2012
Dodeani Govt. Pemba South 2012
Kengeja Govt. Pemba South 2012
Kisiwapanza Govt. Pemba South 2012
Wesha Govt. Pemba North 2012
Mizingani Govt. Pemba North 2012
Makombeni Govt. Pemba North 2012
Kidongochekundu Govt. Unguja Central South 2012
Mpapa Govt. Unguja Central South 2012
Ndijani Govt. Unguja Central South 2012
Mahonda Govt. Unguja North 2012
High View Govt. Unguja North 2012
Mfenesini Govt. Unguja North 2012
Fujoni Govt. Unguja Urban West 2012
Kitope Govt. Unguja Urban West 2012
Matemwe Govt. Unguja Urban West 2012
0 comments:
Post a Comment