Raha ya wapendanao ,Miss Sabina Alexander akiwa katika pozi ya picha na mchumba wake Kasian Ernest ,baada ya kutole mahali na kuvishwa pete ya uchumba katika hafla iliyofanyika Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Kasian Ernest, akimvisha pete mchumba wake Sabina Alexander wakati wa sherehe ya kutolewa mahali ilyofanyika nyumbani kwao Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Blanketi la bibi nalo lilikabidhiwa...
Kilimo Kwanza hapa kilitekelezwa na hapa ni jembe likitplewa kama sehem,u ya mahari.
Msosi ulikuwa wa nguvu na hapa watu wakifanya mambo.
Kasian Ernest, akiwa na mchumba wake na Rafiki yake mkubwa Prisca (kulia) wakati wa sherehe ya kutolewa mahali ilyofanyika nyumbani kwao Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.iliyoambatana na hafla ya kuvishwa pete.
picha ya pamoja ilipigwa kwa woite walio husika.
waoh ernest hongera sn n best of luck...
ReplyDeleteur classmate wa ictm.