Pichani chini na juu ni mmoja wa Mwanamazingaombwe wa mjini Iringa aliyejitambulisha kwa jina la Almas a.k.a Afande Sele akionesha akadabla akadabla zake mbele ya umati wa wakazi wa Iringa waliojitokeza kwa wingi jana jioni kwenye uwanja wa Mwembe Togwa,mjini Iringa wakati wa utambulisho wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itaendelea kutambulishwa tena katika mkoa wa Arusha na baadaye jijini Mwanza.
Mmoja wa wasanii chipukizi wa muziki wa bongofleva,Aston Mpiluka (kulia) akikabidhiwa simu ya mkononi aina ya sumsung na Meneja Mauzo wa Airtel mjini Iringa,Beda Kinunda, mara baada ya kuibuka kinara wa kughani ,wakati wa utambulisho wa huduma mpya ya Airtel Jiunge na Supa5 uliyofanyika jana kwenye uwanja wa Mwembe Tongwa mkoani Morogoro. Airtel Jiunge na Supa5 Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Ukitaka kujiunga na huduma hiyo ANDIKA SMS YENYE NENO ‘WIKI’ AU WIKI UTUME KWENDA 15548.
Wsanii chipukizi wa muziki wa bongofleva,Aston Mpiluka (kulia) na James Shonga wakishindana kughani mbele ya umati wa wakazi wa Iringa waliojitokeza kwa wingi jana jioni kwenye uwanja wa Mwembe Togwa,mjini Iringa wakati wa utambulisho wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itaendelea kutambulishwa tena katika mkoa wa Arusha na baadaye jijini Mwanza.
Wakazi mbalimbali wa mjini Iringa wakiendelea kuhamia Airtel na kujipatia huduma mbalimbali zilizokuwa zikipatikana wakati wa utambulisho wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel kwa wateja wake.
Sehemu ya umati wa wakazi wa Iringa uliofurika jana kwenye uwanja wa Mwembe Togwa wakati wa utambulisho wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itatambulishwa hivi karibuni katika mkoa wa Arusha na baadaye jijini Mwanza.Airtel Jiunge na Supa 5 Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Ukitaka kujiunga na huduma hiyo ANDIKA SMS YENYE NENO ‘WIKI’ AU WIKI UTUME KWENDA 15548.
0 comments:
Post a Comment