Bw. Theodore Silinge Kulia Afisa misitu mkuu kutoka wizara ya nishati na madini, na Evelyn mkokoi Afisa habari ofisi ya makamu wa rais,wakifuatilia majadiliano ya mjadala wa mabadiliko ya Tbaia nchi katika kundi la nchi za Afrika kwenye mkutano wa mabadiliko ya Tabia nchi unaoendelea mjini Bonn Ujerumani. Bw. Sheha Mjaja Juma kushoto,ambae pia ni mkurugenzi wa Idara ya mazingira Znz, Kulia Bw. Fred Manyika Afisa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiajiandaa kuwasilisha mada kwa niaba ya nchi zinazoelendea kuhusu mkakati wa kupunguza gesi joto utokanano na upandani jiti na utunzani misitu, katika mkutano wa kimataifa wa sayansi na taaluma ya mabadiliko ya Tabia nchi unaendela mjini Bonn. |
May 21, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment