Nafasi Ya Matangazo

May 19, 2012

Mbunge wa Mufindi Kusini Bw. Mendrad Kigola jana alipata ajali ya gari katika eneo la Leme, Mkoani Iringa jana na kulazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa kwa matibabu. Hali ya Mbunge huyo inaendelea vizuri na kwa mujibu wa Muhuguzi wa Hospitali ya Mkoa wa Iringa, Oliva Msimbwa (katikati) anadai kuwa wakati wowote anaweza kuruhusiwa kurejea nyumbani.
Posted by MROKI On Saturday, May 19, 2012 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo