Muanzilishi na Mhariri Mkuu(Founder & Editor in Chief) wa Father Kidevu Blog, Mroki Mroki akipokea Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Epraimu Mafuru cheti cha mafunzo ya Diageo Marketing Code yaliyotolewa na Kampuni ya Diageo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda. Semina hii ilitolewa kwa Waendeshaji wa Blogu na mitandao ya Kijamii hususani Blogu (Magazeti tando).
Bahati Chando wa Kampuni ya R&R akipokea
Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
(SBL) Epraimu Mafuru cheti cha mafunzo ya Diageo Marketing Code yaliyotolewa na Kampuni ya Diageo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda. Semina hii ilitolewa kwa Waendeshaji wa Blogu na mitandao ya Kijamii hususani Blogu (Magazeti tando).
Mhariri Mkuu wa The Habari Joachim Mushi, akipokea
Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
(SBL) Epraimu Mafuru cheti cha mafunzo ya Diageo Marketing Code yaliyotolewa na Kampuni ya Diageo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda. Semina hii ilitolewa kwa Waendeshaji wa Blogu na mitandao ya Kijamii hususani Blogu (Magazeti tando).
Mkurugenzi Mwendeshaji wa FULL SHANGWE BLOG, John Bukuku, akipokea
Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
(SBL) Epraimu Mafuru cheti cha mafunzo ya Diageo Marketing Code yaliyotolewa na Kampuni ya Diageo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda. Semina hii ilitolewa kwa Waendeshaji wa Blogu na mitandao ya Kijamii hususani Blogu (Magazeti tando).
Mkurugenzi wa R&R, Carol Gul akipokea
Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
(SBL) Epraimu Mafuru cheti cha mafunzo ya Diageo Marketing Code yaliyotolewa na Kampuni ya Diageo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda. Semina hii ilitolewa kwa Waendeshaji wa Blogu na mitandao ya Kijamii hususani Blogu (Magazeti tando).
Mwendeshaji wa JIACHIE BLOG, Ahmad Michuzi akipokea
Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
(SBL) Epraimu Mafuru cheti cha mafunzo ya Diageo Marketing Code yaliyotolewa na Kampuni ya Diageo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda. Semina hii ilitolewa kwa Waendeshaji wa Blogu na mitandao ya Kijamii hususani Blogu (Magazeti tando).
Mhaariri Mkuu wa Nkoromo Daily, Bashir Nkoromo, akipokea
Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
(SBL) Epraimu Mafuru cheti cha mafunzo ya Diageo Marketing Code yaliyotolewa na Kampuni ya Diageo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda. Semina hii ilitolewa kwa Waendeshaji wa Blogu na mitandao ya Kijamii hususani Blogu (Magazeti tando).
Hadija Kalili wa Bongo Weekend nae akipokea
Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
(SBL) Epraimu Mafuru cheti cha mafunzo ya Diageo Marketing Code yaliyotolewa na Kampuni ya Diageo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda. Semina hii ilitolewa kwa Waendeshaji wa Blogu na mitandao ya Kijamii hususani Blogu (Magazeti tando).
Mahamood Zubeir wa Bin Zubeir Blog, akipokea
Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
(SBL) Epraimu Mafuru cheti cha mafunzo ya Diageo Marketing Code yaliyotolewa na Kampuni ya Diageo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda. Semina hii ilitolewa kwa Waendeshaji wa Blogu na mitandao ya Kijamii hususani Blogu (Magazeti tando).
Shamim Mwasha wa 8020 Blog, akipokea
Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
(SBL) Epraimu Mafuru cheti cha mafunzo ya Diageo Marketing Code yaliyotolewa na Kampuni ya Diageo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda. Semina hii ilitolewa kwa Waendeshaji wa Blogu na mitandao ya Kijamii hususani Blogu (Magazeti tando).
Picha ya pamoja ya Blogger s baada ya kutunukiwa vyeti vyao leo.
SBL mpo juu sana na hongereni kwa kuwanoa Bloggers wetu ambao hakika wanafanya vyema katika ulimwengu huu wa Habari kupitia mitandao ya kijamii.
ReplyDeleteMakampuni mengine yaige mfano huo.
Hongereni wanablogu. Mchango wenu si bure jamani...Kazeni kamba !!!
ReplyDelete