Nafasi Ya Matangazo

April 06, 2012

 
Picha ya Marehemu Alice Felician wakati wa uhai wake,
Kwa niaba ya Jumuiya wa watanzania Reading-UK ,tunasikitika kuwapa taarifa za kifo cha Mtanzania mwenzetu Dada Alice Felician aliyekuwa akiishi hapa Reading -UK kilichotokea tarehe 05.04.2012 asubuhi huko Tanzania. Taarifa zaidi ya kuhusu kifo cha ALICE zitawaijia punde tutakapo pata habari kamili kutoka Tanzania .Kwa wale watakaohitaji kutoa mkono wa pole kwa wafiwa basi chini.Hii ndiyo adddress
Msiba kwa sasa upo 421A OXFORD ROAD READING.

Kwa mawasiliano zaidi ,wasiliana na Uongozi Tanzania Association Reading UK +447865673756
Posted by MROKI On Friday, April 06, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo