Mkuu wa mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akimkabidhi fedha mmoja waakina amawajasiliamali wa kikundi cha Kilangalanga cha Mlandizi,Fedhahizozilitolewana Vodacom kupitiamradi wake wa MWEI kwaajiri yakusaidiaakina mama wajasiriamali. Jumlayaakina mama 25 wamenufaika na mkopo huo wenyethamanizaidi ya shilling imilioni 30.KatikatiniMenejamradiwa Mwei Mwamvua Mlangwana Kuliani Diwaniwa kata Janga Mlandizi Fedilia Simba.
Meneja wamradi wa Mwei kutoka Vodacom Tanzania, Mwamvua Mlangwa ,akimkabidhi RadhiaAbdalahambayenimmojawaakina mama wajasiriamaliwakikundi cha Kilangalanga kilichopo Mlandizi mkoa wa Pwani.Jumla yaakina mama 425wamekopeshwa MWEI zaidi ya shilingiMilioni 30, ambazohazinalibayoyote.
Meneja mradiwa MWEI Mwamvua Mlangwawa Vodacom, akimkabidhi mkopowafedha Mwanaid Khamisi, ambaye nimiongoni mwa akina mama wajasiriamali 425 toka vikundi mbalimbali katika kijiji cha Kilangalanga Mlandizi. Walionufaika na mkopo wazaidi ya shilingi milioni 30.katikati ni mratibu wa mradi wa MWEI Mbuyu Ally.
Baadhi ya akina mama wajasiriamali wa kutoka vikundi mbalimbali katika kijiji cha Kilanglanga Mlandizi wakiwa na watoto wao wakimsikiliza Mkuu wa Mkoawa Pwani Mwantumu Mahiza, (hayupopichani) wakati akitoa maelezo namana ya kuweza kutumia vizuri mikopo waliyopewana Vodacom kupitiamradi wa Mwei. Jumla ya akina mama wajasiriamali 425 walinufaika na mkop usiokuwa nalib awazaidi ya shilingi milioni 30.
Baadhiyaakina mama wajasiliamaliwakikundi cha Kilangalanga kilichopo Mlanzidimkoani Pwani ,wakifurahiakupatamikopoisiyonalibakutoka Vodacom Tanzania kupitiamradi wake waMWEI.Jumlayaakina mama 425 wamenufaikanamkopowazaidiyashilingimilioni 30.
Mratibu wamradiwa MWEI wa Vodacom Tanzania Mgongo Emmanueley akitoa ufafanuzi kwaakina mama wajasilriamali wavikundi mbalimbali kutoka katika kijiji cha Kilangalanga cha Mlandizi kabla ya kuanza kuwakabidhi mikopo isiyo na liba kwaajir iya kuweza kuendele za biasharazao,jumlayaakina mama 425 walinufaikamkopowazaidiyashilingiMilioni 30.
Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule akifafanua jambo kwa akina mama wajasiliamari, kuhusiana na matumizi ya mikopo waliyopewa kwavikundi mbalimbal ivilivyopo katika kijiji cha Kilangalanga Mlandizi wakati wa lipokuwa wakisubiria kukabidhiwa mikopo isiyonaliba kutoka Vodacom kupitiamradi wake wa MWEI. Jumlayaakina mama 425 walinufaika na mkopo wazaidi ya shilingi Milioni 30.
0 comments:
Post a Comment