Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akikabidhi moja kati ya kompyuta 20 zilizotolewa na Airtel kwa chuo kukuu cha Dodoma (UDOM) kwa Makamu Mkuu wa chuo hicho Profesa Idrisa Kikula (kulia) jana wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika chuoni hapo. anaeshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Bahi Bi Betty Mkwasa (kati). Airtel imetoa vitabu 104 na computer 20 vyote vina thamani ya milioni 25/- TZS ikiwa ni muendelezo wa Airtel katika kuchangia sekta ya Elimu nchini.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akikabidhi baadhi ya vitabu vya chuo kikuu vilizotolewa na Airtel kwa chuo kukuu cha Dodoma (UDOM) kwa Makamu Mkuu wa chuo hicho Profesa Idrisa Kikula (kulia) jana wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika chuoni hapo. anaeshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Bhahi Bi Betty Mkwasa (kati). Airtel imetoa vitabu 104 na computer 20 vyote vyenye thamani ya milioni 25/- TZS ikiwa ni muendelezo wa Airtel katika kuchangia sekta ya Elimu nchini.
Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Betty Mkwasa akiongea na waandishi wa habari na baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho jana wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya vitabu 104 na kompyuta 20 vyote vyenye thamani ya milioni 25/- TZS toka Airtel ikiwa ni muendelezo wa Airtel kuchangia sekta ya Elimu nchini. Anaefuata ni Makamu mkuu wa chuo hicho profesa idrisa Kikula na Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando
Makamu Mkuu wa chuo cha Dodoma (UDOM) Profesa Idrisa Kikula (kulia) akiwashukuru Airtel mbele ya waandishi wa habari na baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho jana wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya vitabu 104 na kompyuta 20 vyote vyenye thamani ya milioni 25/- TZS kutoka Airtel ikiwa ni muendelezo wa Airtel kuchangia sekta ya Elimu nchini. Kulia ni mkuu wa wa wilaya ya Bhahi Betty Mkwasa na toka shoto ni Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando.
Mkuu wa wilaya ya Bahi Bi Betty Mkwasa, akiwa na Makamu Mkuu wa chuo cha Dodoma (UDOM) jana pamoja na wafanyakazi wa Airtel na baadhi ya wanafunzi wa IT chuoni hapo wakiwa wameshikilia vitabu vilivyotolewa msaada na Airtel kwa chuo hicho wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya vitabu 104 na kompyuta 20 vyote vyenye thamani ya milioni 25/- TZS toka Airtel ikiwa ni muendelezo wa Airtel kuchangia sekta ya Elimu nchini.
0 comments:
Post a Comment