Watoto wa wateja wa kampuni ya Airtel Tanzania wakijumuika kwa pamoja na watoto wa wafanyakazi wa Airtel katika shamra shamra tamashamaalum la watoto kuelekea kusheherekea sikukuu ya pasaka kwa michezombali mbali kwa pamoja ambayo imefanyika katika kituo cha michezo yawatoto kiitwacho Fun Sport ndani ya jengo la Qualty center Jijini Dar-es-salaam kwa hisani ya Airtel.
Watoto wa wateja wa kampuni ya Airtel Tanzania wakijumuika kwa pamoja na watoto wa wafanyakazi wa Airtel kukakata keki iliyoandaliwa na kampuni ya Airtel Tanzania katika shamra shamra za tamasha maalum kuelekea sikukuu ya pasaka ambapo watoto hao walipata nafasi ya kucheza michezo mbali mbali kwa pamoja ambayo imefanyika katika kituo cha michezo ya watoto kiitwacho Fun Sport ndani ya jengo la Qualty center Jijini Dar-es-salaam.
Meneja mauzo wa kampuni ya Airtel Tanzania Bi.Hilda Nakajumo akikata keki kwa pamoja na Watoto wa wateja wa kampuni ya Airtel Tanzania na watoto wa wafanyakazi wa Airtel katika shamra shamra za kuelekea sikukuu ya pasaka ambapo watoto hao walipata nafasi ya kucheza michezo mbali mbali kwa pamoja ambayo imefanyika katika kituo cha michezo ya watoto kiitwacho Fun Sport ndani ya jengo la Qualty center Jijini Dar-es-salaam.
Mkurugenzi wa Biashara wa kampuni ya Airtel Tanzania Bw.Irene Madeje akizungumza na waandishi wa habari katika sherehe ya michezo kwa Watoto wa wateja wa kampuni ya Airtel Tanzania na watoto wa wafanyakazi wa kampuni hiyo katika shamra shamra za kusheherekea sikukuu ya pasaka na kuendeleza uhusiano mzuri uliopo kati ya wateja wa Airtel na wafanyakazi wa Airtel ambapo watoto hao walipata nafasi ya kucheza michezo mbali mbali kwa pamoja ambayo imefanyika katika kituo cha michezo ya watoto kiitwacho Fun Sport ndani ya jengo la Qualty center Jijini Dar-es-salaam.
*************
Airtel yaanza shamra shamra za sikukuu kwa kushereheka na watotoKampuni ya simu za mkononi ya Airtel yaanza shamrashamra za sikukuukwa kujumuika na watoto wa wateja wao jijini Dar es saalam ambapo watoto zaidi ya 150 walipata nafasi ya kukutana pamoja jumamosi mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa Quality Center - Fun sports nakufurahi kwa pamoja.
.
Huu ni mkakati ambao Airtel imejiwekea kusherehekea pamoja na watotowa wateja wao wa makapuni ( corporate customer) wiki moja kabla ya sikukuu za pasaka huku lengo likiwa ni kuwa karibu na wateja wao na kusambaza upendo wa kampuni hiyo kwa wateja wake na familia zao.
Huu ni mkakati ambao Airtel imejiwekea kusherehekea pamoja na watotowa wateja wao wa makapuni ( corporate customer) wiki moja kabla ya sikukuu za pasaka huku lengo likiwa ni kuwa karibu na wateja wao na kusambaza upendo wa kampuni hiyo kwa wateja wake na familia zao.
Akiongea kwa niaba ya Airtel Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel Bi Irene Madegealisema" leo tunajisikia furaha kuwa na watoto wa wateja wetu na kujumuika nao pamoja, Tumekuwa tukifanya shughuli mbalimbali ikiwa nikatika kuwazawadia wateja wetu, lakini leo tunatumia muda huu kuwapa
burudani watoto ambao ndio wateja wetu wa kesho".
Kwa muda wa takribani masaa 4 watoto zaidi ya 150 walipata burudanimbalimbali ikiwa pamoja na michezo mbalimbali ya watoto kama face painting, mashindano ya kucheza music, na pia kupata nafasi ya kukutana na wafanyakazi wa Airtel, kumzungumza pamoja na kuwasisitizawatoto kuwa wasikivu shuleni ili kufanya vizuri kwenye masomo yao,tunaamini watoto hawa wamekuwa na wakati mzuri pamoja nasi. Aliongeza Bi Irene.
0 comments:
Post a Comment