Nafasi Ya Matangazo

March 21, 2012

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akiangalia Mpira wa Miguu uliobuniwa na baadhi ya mafundi wajasiriamali wa maafunzo hayo ya SIDO. Mpira huo umetengenezwa kwa ngozi ya Mbuzi na kushonwa kwa sindano ya mkono kwa ustadi wa hali ya juu. Kwa mujibu wa Mkuuu hyo wa Mkoa vipaji ni vingi katika nchi yetu na kinachohitajika sasa ni uendelezwaji wa vipaji hivyo viweze kuleta tija kwa wabunifu wenyewe na taifa kwa ujumla. Kulia anayeshuhudia ni Meneja wa SIDO Mkoa wa Rukwa Martin Chang'a.
Huu ndio Mpira wa Miguu (Football) pamoja na viatu vilivyotengenezwa na wajasiriamali hao wa SIDO kwa kutumia ngozi ya Mbuzi.
Wahitimu wote 55 wa mafunzo hayo walipewa vyeti vya kuhitimu mafunzo hayo. Hapo Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akimkabidhi Ndugu Kenan Mwimanzi ambaye ni fundi Serimala Cheti chake cha kuhitimu mafunzo hayo.
Picha na  http://rukwareview.blogspot.com/
Posted by MROKI On Wednesday, March 21, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo