Nafasi Ya Matangazo

February 16, 2012

Mama Mlezi wa kituo Bibi Mwanaisha akiwa karibisha wafanyakazi wa tigo kituoni.
 ___________________________________________________________
Tarehe 15/02/2012 wafanyakazi wa tigo walitembelea kituo cha kulea watoto yatima cha New life Orphanage kilichopo Kigogo. Nia na madhumu ilikua ni kufahamu mazingira wanayoishi hawa watoto na kuangalia namna ambayo tigo ingeweze kuwasaidia kuboresha maisha ya hawa watoto.

Wafanyakazi wa tigo walifanya ziara ya kuangalia kituo na mazingira yake, walipata kushuhudia vipaji cha watoto hawa. Zawadi nyingi zilitolewa na mwisho wakapata chakula cha pamoja.

Tigo pia ilitoa ahadi ya kuwezesha kituo kujikimu kwa kusaidia kuanzisha kituo cha tigo Pesa na Tigo Rusha. Elimu ya biashara hizi na pam oja na vitendea kazi vitatolewabure.
Wafanyakazi wa tigo wakitoa zawadi kwa watoto.
Mratibu wa mitandao ya jamii bibi Samira(Kushoto) akiteta jambo na watoto kutoka kituoni.
 
Watoto wakiwa na zawadi zao.
Picha ya pamoja.
Posted by MROKI On Thursday, February 16, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo