Mgonjwa Damas Mwita aliyelazwa katika wodi ya Sewahaji, Hospitali ya Taifa Muhimbili, akizungumza kwa jazba mbele ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Huduma za Jamii, Margaret Sitta (mwenye koti jeusi) wakati yeye na wajumbe wa kamati hiyo walipotembelea hospitali hiyo, Dar es Salaam jana kujionea hali halisi ya wagonjwa baada ya kuwepo mgomo wa madaktari unaoendelea nchini kote. Source: Habarileo online.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment