Huu si mzinga wa nyuki!! bali ni mtambo maalum wa kutengenezea pombe ya Moshi ama kama ijulikanavyo na watanzania wengi Gongo na maeneo mengine "Supu ya mawe". Utengenezaji wa pombe hii ni kosa kisheria nchini lakini watu bado wanaendelea kutengeneza pombe hiyoambalo ukali wake huleta madhara kwa afya ya mtumiaji. Ila ona utalaam huo uliotumika kuandaa chungu hicho cha kupikia na kupozea. Halafu mnasema watanzania hawajasoma.
January 13, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kweli ni utaalam wa hali ya juu sana huu....hapa bila kutumia akili huwezi.
ReplyDelete