Leo ni Bithday ya Mwana Bloger Nguli wa kike Shamim Mwasha ambaye anendesha Blogu ya Mavazi na mitindo ya 8020fashion.blogspot.com pamoja na maduka kadhaa ya mavazi. Blogu hii inaungana na Blog zote hapa nchini na nje ya nchi kumtakia heri na fanaka katika maadhimisho hayo ya siku yake ya kuzaliwa na inamtaka mtoto huyu leo asicheze mbali na nyumbani maana anaweza kupotea.
Pia Mungu amjalie afya njema na kumuongezea mika mingine zaidi na zaidi ilituendelee kupata taarifa mbalimbali za mitindo na mavazi kupitia 8020fashion Blog.
HAPPY BIRTHDAY!!!! SHAMIM
0 comments:
Post a Comment