Nafasi Ya Matangazo

December 30, 2011


ILIKUWA DAKIKA , SAA SIKU NA LEO NI MIAAKA 8 TANGU MKE WANGU MPENDWA SALOME AUGUSTINO MGONJA ,ULIPOTUTOKA KTIKA HII DUNIA TULIKUPENDA SANA LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI,UNAKUMBUKWA NA WATOTO WAKO SEIF,HUMPHREY,FREDY,ROSE,CHRISTINA.NEEMA MWAJABU,GLADY,NA WIFI ZAKO MERY O. NATHAN, ELICE ,MAMA, NASRA, NA KAKA YAKO  JUMA SHABANI MFINANGA WAJUKU ZAKE,STEVEN,ELICE
MKE WANGU TUNANAKUMBUKA SANA LAKINI TUNAJUA KIMWILI HAUPO NASI ILA KIROHO TUKO PAMOJA,NA SIKU MOJA TUTAONANA.
             BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE AMINI
 MJOMBA NAONA MIMI SIO MWANDISHI NISAIDIYE HUKO PENGINE NIMEKOSEA NASHUKURU KWA HILO.
Posted by MROKI On Friday, December 30, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo