Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya, Enrico Strampeli , wakikata upete kwa pamoja ikiwa ni ishala ya ufunguzi rasmi wa Barabara ya Nelson Mandela, uliofanyika leo Desemba 2, Temeke Jijini Dar es Salaam. Kulia kwa Makamu ni Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli na (kulia) kwa Balozi ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadick.
Makamu wa Rais akipeana mkonio na Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli.Wahamasishaji kutoka wilaya ya Temeke wakishangiria ufunguzi wa barabara ya NElson Mandela.
0 comments:
Post a Comment