Mkuu wa mkoa wa Mara John Tupa(katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika banda la Idara ya Habari kuhusiana na maandalizi ya mbio za mwenge wa uhuru unaotarajia kuwashwa mkoani humo. Wa pili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga na kwanza na kwanza kushoto ni kaimu Afisa Utamaduni na Michezo, Shekheadi Saidi. Wengine wa pili kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa huo, Clement Lujaji na wa kwanza kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya ya Musoma, Dkt. Karaine Kimaati.October 12, 2011
Mkuu wa mkoa wa Mara John Tupa(katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika banda la Idara ya Habari kuhusiana na maandalizi ya mbio za mwenge wa uhuru unaotarajia kuwashwa mkoani humo. Wa pili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga na kwanza na kwanza kushoto ni kaimu Afisa Utamaduni na Michezo, Shekheadi Saidi. Wengine wa pili kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa huo, Clement Lujaji na wa kwanza kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya ya Musoma, Dkt. Karaine Kimaati.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Kwanini hamuulizi watu majina yao? Huyo huyo "Madaraka Nyerere" anakuwaje tena "Makongoro Nyerere"?
ReplyDeletePoa Madaraka,tumekupata mkuu.Ex Bunge
ReplyDelete