Bwana Yesu apewe sifa!
Ninachukua fursa hii kukukumbusha kuwa, COUPLES' MOMENT 2011 inayoandaliwa na SCRIPTURE UNION OF TANZANIA itafanyika juma hili siku ya Ijumaa 14/10/2011 kuanzia 7:30 am mpaka 6:00 pm.
Zipo shuhuda nyingi za wanandoa kupona kutokana na "couples moment" zilizopita na ni "zeal" yetu kuwa watu wengi wapate neema hii wakati huu pia.
Gharama ni 50,000/- kwa couple yako.
Masomo:-

- Challenges to modern couples and issues on family decision making
- Parenting dynamics
- Love, sex and health to married couple
Tafadhali niandikie e-mail kwa anwani hii bishopmkoloma@gmail.com au piga simu, tuma text message kwenda namba 0713 089 185, 0713 761 341, 0754 638386, 0754 761 341 au 0788 761 341 kuthibitisha ushiriki au kwa maelezo zaidi.
Ambao wako tayari, waweza pia tuma michangoi yao kwa M-pesa au tiGo pesa namba hizo hizo
Barikiwa!
0 comments:
Post a Comment