Nafasi Ya Matangazo

October 10, 2011

Mwishoni mwa wiki hii,nilitembelea Nyumbani Kwangu Kinyenze, huko Kijiji cha Kipera, Kata ya Mlali wilayani Mvomero mkoani Morogoro. Baadaya kufika hapo mama akaniambia nenda uwani huko tafuta kuku atakekufaa kamata, chinja then mambo yanayofuata wadau mnayajua.

Nawasihi sana ndugu zangu tuwe na mazoea na tabia ya kutembelea maeneo tuliyozaliwa mara kwa mara na kuwakumbuka wazazi ama ndugu na jamaa.
Posted by MROKI On Monday, October 10, 2011 3 comments

3 comments:

  1. Weee kaka wewe yaaani mpaka raha..Vipi ulimkamata mmoja na kupata kitoweo? Nyumbani ni nyumbani kwa kweli ...safi safi safi sana:-)

    ReplyDelete
  2. Father inaonekana huyo Jogoo mkubwa mwekundu ameshakustukia! Haha!

    ReplyDelete
  3. Hii inafurahisha sana. Mtu kwao na tusisahau wazazi jamani. Kuku wa kienyeji! mmmmmmm!!! watam hao acha tu!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo