Nafasi Ya Matangazo

October 09, 2011

Mkurugenzi wa Mauzo SBL Bw. Segun Macalauy (kushoto), Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Serengeti Breweries Bi. Teddy Mapunda (katikati) na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya hiyo Ephraim Mafuru wakibadilishana wakati wakimsubiri mgeni rasmi kuwasili pamoja na wageni waalikwa
Innovation Team katika picha ya pamoja. Hongereni kwa kazi nzuri.
Meneja wa Bia ya Pilsner Lager Maurice Njowoka akizungumza machache kabla ya tukio rasmi la kuzindua bia hiyo, ambapo amesema bia hii ni mahususi kwa Vijana na kufafanua kuwa ndio maana hata Brand Manager pia ni kijana hata hivyo amewakumbusha vijana kukumbuka kuwajibika na kutokunywa pombe kwa kupindukia.
Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Serengeti Breweries Bi. Teddy Mapunda akimkaribisha mgeni rasmi.
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Profesa Jumanne Maghembe akizungumza wakati wa uzinduzi wa bia ya Pilsner Ice ambapo amesema Tanzania inajivunia kinywaji hicho ambacho kimetengenezwa kwa zao linalolimwa hapa nchini.
Mgeni rasmi Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Profesa Jumanne Maghembe akib0nyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa bia hiyo.Wanaoshuhudia tukio hilo ni  Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Serengeti Breweries Bi. Teddy Mapunda (wa pili Kulia) Mkurugenzi wa Masoko Bw. Ephraim Mafuru na Brand Manager 
Pilsner Lager Maurice Njowoka.
Sasa imezinduliwa rasmi.
Hongereni Serengeti Breweries.Makofi ya kuashiria furaha ya uzinduzi.
Cheers to everybody.........Mfalme amerudi tena..... Imechujwa kwa ubaridi kukupa ladha safi kabisa.
Mmoja wa Innovation Team akigonga cheers na Mgeni rasmi baada ya uzinduzi rasmi.
Kutoka kushoto ni Division Team Leader Dar es Salaam Bw. Harry Tyluhungwa, Mkurugenzi wa Mauzo SBL Bw. Segun Macalauy, Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni hiyo Bi. Teddy Mapunda pamoja na Mhariri Mkuu wa gazeti la Citizen Bakari Machumu.
Posted by MROKI On Sunday, October 09, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo