Mafuta yapo lakini hayauzwi.
Umeme upo lakini hauwashwi.
Mafisadi wapo lakini hawakamatwi.
Magamba yapo lakini hayabanduliwi.
Maji yapo lakini haya toki ktk mabomba.
Wananchi wapo lakini hawaandamani.
Sheria zipo lakini hazifuatwi.
Viongozi wapo lakini hawatendi kazi zao.
Polisi wapo lakini uhalifu unakithiri.
Wafanyakazi wapo lakini hawafanyi kazi.
Bahari tunayo lakini tunaletewa samaki wenye mionzi.
Wabunge tunao wanapiga tu kele na kulala Bungeni.
Mlima Kilimanjaro tunao lakini Wakenya wanafaidika nao.
Migodi tunayo lakini madini yananufaisha wawekezaji.
hiyo ndio bongo yetu in a nutshell!!!!!
ReplyDelete