Nafasi Ya Matangazo

July 08, 2011

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa katika mzungumzo na viongozi  waandamizi walioshiriki katika uzinduzi wa malei ya kukufanyia utafiti wa mafuta na gesi katika  pwani ya Mtwara na Mafia kabla ya uzinduzi uliofanywa na Mama Tunu Pinda katika mji maarufu wa uundaji meli wa  Geoje nchini Korea Kusini Julai 8,2011
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akihutubia baada ya  kuzindua meli ya Ocean Rig Poseidon kwenye bandari ya Geoje nchini Korea ya Kusini Julai 8, 2011.
 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua meli ya Ocean Rig Poseidon baada ya meli hiyo kuzinduliwa na Mama Tunu Pinda kwenye Bandari maarufu  kwa ujenzi wa meli kubwa ya Mji wa Geoje nchini Korea Kusini  Julai 8, 2011.
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizindua meli ya Ocean Rig Poseidon kwenye bandari ya Geoje nchini Korea ya Kusini Julai 8, 2011.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiongozwa kukagua meli ya Ocean Rig Poseidon baada ya kuizindua kwenye bandari ya Mji maarufu kwa ujenzi wa Meli kubwa wa Geoje nchini Korea ya Kusini Julai 8, 2011. Meli hiyo inayomilikiwa na kampuni ya Petrobas ya Brazil inatarajiwa kufanya utafiti wa mafuta na gesi kwenye pwani ya mtwara na Mafia miezi michache ijayo.
Posted by MROKI On Friday, July 08, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo