Nafasi Ya Matangazo

July 06, 2011


HATIMAYE serikali kuputia waWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mathias Chikawe imesema Mbunge wa Bariadi Mashariki na Waziri wa Zamani wa Katiba na Sheria, Andrew Chenge hahusiki kwa namna yoyote na kashfa ya uuzaji wa rada liyoligharimu Taifa pauni milioni 28.

Srikali ya Tanzania kwa sasa inafanya kazi ya zida kuhakikish fedha hizo zinarudi huku kampuni husika ikisema itazigawa kwa NGO's nchini.

 Aidha Chikawe Aliwataja wahusika kuwa ni Sailesh Vithlan, dalali wa rada hiyo Jonathan Callman, Meneja Biashara wa Kampuni ya BAE Systems ya Uingereza iliyouza rada hiyo na Meneja Masoko wa kampuni hiyo, aliyejulikana kwa jina moja la Christopher.
Posted by MROKI On Wednesday, July 06, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo