Nafasi Ya Matangazo

June 09, 2011

Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Mohamed Mpinga akionyesha kwa Waandishi wa habari (hawapo pichani) Kipeperushi kinachoelezea haki na wajibu wa dereva wakati anaposimamishwa na Askari wa usalama barabarani wakati alipokuwa akielezea mradi wa kupunguza vizuzi vya barabara kuu ya Dar es salaam mpaka Rusumo Kagera .
Posted by MROKI On Thursday, June 09, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo