Nafasi Ya Matangazo

May 19, 2011

Baadhi ya wafanyakazi wa TBL, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla hiyo jijini Joburg, Afrioka Kusini.
 Its Nick Fell, Global Marketing Director, David Minja Marketing Director TBL and Mark Bowman Managing Director SABMiller Africa in the Marketing, Sales and Distribution Annual Conference in J’berg South Africa.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania, wakifurahia tuzo hizo, wakati wa hafla ya kutoa tuzo iliyofanyika Jahannesburg Afrika Kusini hivi karibuni.
 Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Minja (kulia) akionesha kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo,baadhi ya tuzo ambazo kampuni hiyo ilipata ilipata nchini Afrika Kusini, baada ya kuibuka washindi wa mauzo, masoko na usambazaji kwa kampuni 16 za SABMiller Afrika.Kushoto ni Meneja Usambazaji wa TBL Kanda ya Kusini, Reginald Mosha.
Maofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiwa na tuzo mbalimbali ambazo kampuni hiyo ilipata nchini Afrika Kusini hivi karibuni, baada ya kuibuka washindi wa mauzo, masoko na usambazaji kwa kampuni 16 za SABMiller Afrika.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Rasilimali Watu, Steve Kilindo,Meneja Usambazaji Kanda ya Kusini, Reginald Mosha, Mkurugenzi wa Masoko, David Minja na Meneja Miradi Maalum, Emma Oriyo.
Posted by MROKI On Thursday, May 19, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo