Muasisi na Mwenyekiti Mtendaji wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) Professor Klauss Schwab akimkaribisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ofisi yake ya Mjini Cape Town Afrika Kusini Mei 6 2011 jioni. Baadae walifanya mazungumzo katika masuala mbalimbali ya kimaendeleo. Rai Kikwete yupo Afrika Kusini kuhudhuria Mkutano huo wqa WEF.
May 07, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment