Nafasi Ya Matangazo

May 08, 2011

 Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Chritine Kamuzora (kulia), akielezea faida ya kujiunga na mfuko huo katika semina ya elimu ya umma kuhusu mfuko huo, iliyowahusisha wanachama wa kikundi cha wajasiliamali cha akina mama wa Ubungo cha MUWASIDA Saccos, Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa NSSF, Maife Kapinda
 Mwanachama Hidaya Mohamed wa kikundi cha wajasiriamali cha akina mama wa Ubungo cha MUWASIDA Saccos, akiuliza swali kwa mwendesha mada, Chritene Kamuzora
 Mwanachama wa kikundi cha wajasiliamali cha akina mama wa Ubungo cha MUWASIDA Saccos, Editha
Rimoy akisoma kijarida cha mafao ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)
Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mwanakombo Mohamed akigawa mfuko
wenye fulana, kofia na vijarida vya NSSF kwa wanachama wa kikundi cha wajasiriamali cha akina mama wa Ubungo cha MUWASIDA Saccos.
Posted by MROKI On Sunday, May 08, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo