Nafasi Ya Matangazo

April 10, 2011


Baadhi ya vinana wa Mkoa wa Iringa wakiwa katika pilika za kusafirisha pombe ya Ulanzi ambayo ni maarufu sana kwa wenyeji wa mkoa huo. Pichani ni vijana hao wakitoka mashambani kuelekea mjini.
Hii ilinaswa leo asubuhi.
Posted by MROKI On Sunday, April 10, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo