Nafasi Ya Matangazo

April 10, 2011

 Mkuu wa Mauzo wa Kitengo cha Wateja Wakubwa, Minnie Adolf Kibuta (katikati) akizungumza na baadhi ya wateja wa makampuni wa benki hiyo wakati wa hafla ya kuzindua tena huduma ya dhamana kwa wafanyabiashara (Trade Finance) iliyofanyika katika Hoteli ya Mount Meru mjini Arusha mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati) akisalimiana na baadhi ya wateja wa makampuni wa benki hiyo. 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati) akisalimiana na baadhi ya wateja wa makampuni wa benki hiyo.
 : Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kulia) akizungumza na baadhi ya wateja wa makampuni wa benki hiyo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru akizungumza wakati hafla ya kuzindua tena huduma ya dhamana kwa wafanyabiashara (Trade Finance) iliyofanyika katika Hoteli ya Mount Meru mjini Arusha mwishoni mwa wiki.
 Maofisa wa NBC wakibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wa makampuni wakati wa hafla hiyo.
Mmoja wa wateja wa benki hiyo akiulizwab swali mbele ya Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru (kulia) akimsikiliza kwa makini.
 Meneja Tawi wa NBC Arusha, Alphonce Musiba (kushoto) akizungumza na mmoja wa wateja wakati wa hafla hiyo.
Posted by MROKI On Sunday, April 10, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo