Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiweka Shada la Maua kwenye kaburi la Mary Kone, mke wa Mkuu wa Mkoa wa Singida Parseko Ole Kone katika mazishi yaliofanyika Monduli, Machi 31, 2011.
Waziiri Mkuu, Mizengo Pinda kisindikizwa na Spika wa Bunge Anne Makinda (Kulia) na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhaga, baada ya kuzindua TUme Mpya ya Utumishi wa Bunge kwenye ukumbi ea Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Dar es salaam, Aprili 1, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan, Ofisini kwake jijini Dar es salaam April 1, 2011.
0 comments:
Post a Comment