Nafasi Ya Matangazo

April 15, 2011

A
 Hiace ya Usa River kwenda Arusha mjini ikiwa imegongana na Basi la Ngorika leo asubuhi katika eneo la  Makumira na watu tisa kuripotiwa kufa papo hapo. Pichani ni askari wakiwa eneo la tukio hilo leo.
Dereva wa basi la Ngorika Emmanuel Mchomvu akiwa ametolewa chini ya basi alikokuwa amekandamizwa mara baada ya ajali hiyo kutokea na hapa akisaidiwa na watoa huduma ya kwanza kuyanusu maisha yake.
Posted by MROKI On Friday, April 15, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo